UNIC yaendelea kutoa mafunzo ya mateso ya kambi za wayahudi.


Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi ya Diamond juu ya umuhimu wa kujifunza mauaji ya kimbari ya wayahudi ya mwaka 1933. Na Mwandishi Wetu, MOblog Tanzania Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) kimeendelea kutoa mafunzo na elimu juu ya umuhimu wa kukumbuka maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya… Continue reading UNIC yaendelea kutoa mafunzo ya mateso ya kambi za wayahudi.

MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED‏


 Miaka 10 ya onyesho la ‘Lady in red’ Februari 14  Wabunifu mbalimbali kupamba. Wanne Star, Babloom Trio Band kutumbuiza WABUNIFU mbali mbali kupamba  miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super  brand, 10th Anniversary’  linalotarajiwa kufanyika Februari  14,  ambapo pia litatumbuizwa na burudani kutoka kwa  Babloom Trio bendi na Wanne Star, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa… Continue reading MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED‏

MTANZANIA ALIYEPATA NAFASI KUCHEZA TIMU YA COLORADO RAPIDS LIGI YA MAREKANI MLS


Albert Edward jezi nyekundu na bukta nyeupe # 2 mgongoni Name: Albert Edward Position: Defender Age: 22 Date of Birth: November 19th, 1991 Birth Place: Dar es Salaam, Tanzania Citizenship: Australian Residence (Green Card): United States of America Height: 5’10” Weight: 180lbs/81kgs Profile Albert is the Eldest Son out of 3 kids of Robert and Janet Edward Barongo. Born in Dar es Salaam, it was… Continue reading MTANZANIA ALIYEPATA NAFASI KUCHEZA TIMU YA COLORADO RAPIDS LIGI YA MAREKANI MLS