UHAMISHO NA UTEUZI WA BARAZA LA MAWAZIRI


KAZI IMEKAMIRIKA TUNAWATAKIA UTENDAJI MWEMA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAnembo
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE,
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
______________________________________________

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-

1.0 OFISI YA RAIS

Hakuna mabadiliko.

2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS

2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) – Hakuna mabadiliko

2.2 Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)
Waziri wa Nchi (Mazingira).

2.3 Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)
Naibu Waziri

3.0 OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna mabadiliko

4.0 WIZARA

4.1 WIZARA YA FEDHA
4.1.1 Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)
Waziri wa Fedha
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)
Naibu Waziri wa Fedha
4.1.2 Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)
Naibu Waziri wa Fedha

4.2 WIZARA YA…

View original post 443 more words

Advertisements