LETTIE MATABANE: MUIGIZAJI MAARUFU WA ISIDINGO AFARIKI DUNIA LEO! ALIKUWA AKIISHI NA VIRUSI!


Lesego Motsepe (Lettie Matabane), enzi za uhai wake Mwaka 2011 Lettie aliwahi kujitangaza kuwa anaishi na Virusi vya Ukimwi Mahojiano ya televisheni aliyowahi kuyafanya mara baada ya kujitangaza ni HIV Positive. Aliyekuwa muigizaji maarufu katika Tamthilia ya Isidingo The Need ya Afrika Kusini, Lesego Motsepe maarufu zaidi kwa jina la Lettie Matabane, amefariki dunia nchini mwake Afrika Kusini mapema leo. Lettie, ambaye alijipatia umaarufu mkubwa… Continue reading LETTIE MATABANE: MUIGIZAJI MAARUFU WA ISIDINGO AFARIKI DUNIA LEO! ALIKUWA AKIISHI NA VIRUSI!

Tigo yazindua ‘Rudishiwa Pesa yako’


Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema leo katika uzinduzi wa promosheni mpya ya ‘Rudishiwa Pesa Yako’ inayowapa wateja wapya wa Tigo ofa ya kununua laini za simu kwa 1000/-  na kurudishiwagharama zao kwa kupewa muda wa maongezi wa 500/- na salio katika akaunti zao za TigoPesa wa 500/- pia. Kushoto ni Mtaalam wa Ubunifu wa Ofa kutoka Tigo Jackqueline Nnunduma. -Tigo kuwarudishia wateja… Continue reading Tigo yazindua ‘Rudishiwa Pesa yako’

Video ya Sky’s the limit- Wise Ft Absoulute iliyoangozwa na Mtanzania kutoka Kansas City U.S 20 Januar


Ongezeko la vipaji kwa waTanzania unazidi kuongezeka siku hadi siku nchini Marekani. Agalia Video ya nyimbo ya ”Sky’s the limit- Wise Ft Absoulute‘‘ video ambao amei-Direct mTanzania Eddy Mohamed Eddy kutoka Kansas City   moblog Continue reading Video ya Sky’s the limit- Wise Ft Absoulute iliyoangozwa na Mtanzania kutoka Kansas City U.S 20 Januar

P-Square buy two new homes in Atlanta, Georgia 20 January 20


The superstar duo just purchased two new houses in Atlanta USA. Peter Okoye shared the pics of the amazing interior “@PeterPsquare: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord. Cc @rudeboypsquare   #Buckhead #Hardwork . They have a house in Omole Estate, Ikeja, building one in Parkview Estate, Ikoyi and now they have acquired two more homes in Atlanta, Georgia, USA. Congrats Guys……………..  moblog Continue reading P-Square buy two new homes in Atlanta, Georgia 20 January 20

MA UTD YAPEWA KIIGO CHA MBWA MWIZI


Na Bin Zubeiry Mcamerron Samuel Eto’o amelichangamsha Jiji la London leo baada ya kufunga mabao yote matatu katika ushindi wa 3-1 wa Chelsea dhidi ya Manchester United, Uwanja wa Stamford Bridge. Eto’o alifunga mabao mawili kipindi cha kwanza dakika ya 17 na 45 na baadaye dakika ya nne tangu kuanza kipindi cha pili akakamilisha hattrick yake kabla ya kumpisha Fernando Torres dakika ya 79. Javier… Continue reading MA UTD YAPEWA KIIGO CHA MBWA MWIZI