Obama kuzungumzia hali ya mwanya kati ya umasikini na matajiri duniani na Papa Francis.


Rais wa Marekani Barack Obama atakutana na Papa Francis huko Vatikan wakati wa ziara yake ya wiki moja Ulaya iliyopangwa kufanyika mwishoni mwa Machi. White House inasema rais Obama anatarajia kuzungumza na Papa Francis kuhusu mtizamo wao unaolingana katika kupambana na umasikini na tofauti ya kipato inayoendelea kuongezeka. Mkutano huo umepangwa kufanyika Machi 27 .Wakati akiwa Roma rais Obama anapanga kukutana na rais wa Italia… Continue reading Obama kuzungumzia hali ya mwanya kati ya umasikini na matajiri duniani na Papa Francis.

Kituo cha mafunzo cha Benki ya Exim chatunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora


Mwakilishi wa Kampuni ya ukaguzi ya ACM Tanzania Tawanda Manyuchi (kushoto) akipeana mkono na Meneja Mwandamizi wa Benki ya Exim – Mafunzo na Maendeleo Priti Punatar kabla ya kukabidhi cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango cha ISO kwa kituo cha mafunzo cha benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Akishuhudia wapili kushoto ni Meneja Msaidizi Mafunzo na Maendeleo Japhet Kemboi. (Picha na… Continue reading Kituo cha mafunzo cha Benki ya Exim chatunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora

DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI ALIYEKWENDA KUJITAMBULISHA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Luigi Scotto,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Luigi Scotto, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana. (PICHA NA IKULU,  ZANZIBAR) Continue reading DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI ALIYEKWENDA KUJITAMBULISHA