MTANZANIA ALIYEPATA NAFASI KUCHEZA TIMU YA COLORADO RAPIDS LIGI YA MAREKANI MLS


Albert Edward jezi nyekundu na bukta nyeupe # 2 mgongoni Name: Albert Edward Position: Defender Age: 22 Date of Birth: November 19th, 1991 Birth Place: Dar es Salaam, Tanzania Citizenship: Australian Residence (Green Card): United States of America Height: 5’10” Weight: 180lbs/81kgs Profile Albert is the Eldest Son out of 3 kids of Robert and Janet Edward Barongo. Born in Dar es Salaam, it was… Continue reading MTANZANIA ALIYEPATA NAFASI KUCHEZA TIMU YA COLORADO RAPIDS LIGI YA MAREKANI MLS

Hii ni kauli ya Nay wa mitego baada ya mshindi wa BSS 2013 kuonyesha mali alizonunua


.Jana jioni kupitia millardayo.com mshindi wa shindano la vipaji la BSS 2013 Emmanuel Msuya aliziachia picha za nyumba aliyonunua, gari pamoja na studio… vyote akiwa kavifanya kutokana na zile milioni 50 za ushindi wa BSS. Yafuatayo ni maoni ya Nay wa Mitego ambae aliwahi kudiss kwenye wimbo wake kwamba washindi wa BSS pesa za ushindi wanapewa, mbona hakionekani chochote? Ya moyoni kutoka kwa Ney ni haya >>> ‘kitu ambacho… Continue reading Hii ni kauli ya Nay wa mitego baada ya mshindi wa BSS 2013 kuonyesha mali alizonunua

Waziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi ateta na waandishi wa habari


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) jana jijini Dar es salaam mara baada ya kuripoti katika Ofisi yake mpya kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri alioufanya Rais Jakaya Mrisho Kikwete hivi karibuni. Kulia ni Naibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Ame Silima.(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam). Continue reading Waziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi ateta na waandishi wa habari