Waziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi ateta na waandishi wa habari


  • chikawe 212

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) jana jijini Dar es salaam mara baada ya kuripoti katika Ofisi yake mpya kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri alioufanya Rais Jakaya Mrisho Kikwete hivi karibuni. Kulia ni Naibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Ame Silima.(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam).

chikawe 222

View original post

Advertisements