MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED‏


 Miaka 10 ya onyesho la ‘Lady in red’ Februari 14  Wabunifu mbalimbali kupamba. Wanne Star, Babloom Trio Band kutumbuiza WABUNIFU mbali mbali kupamba  miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super  brand, 10th Anniversary’  linalotarajiwa kufanyika Februari  14,  ambapo pia litatumbuizwa na burudani kutoka kwa  Babloom Trio bendi na Wanne Star, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa… Continue reading MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED‏