HAPPY BIRTHDAY JANUARY MAKAMBA


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makambaleo ametimiza umri wa miaka 40. Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bumbuli (CCM), alizaliwa Januari 28, 1974. GPL inamtakia kila la kheri Mhe. Makamba katika siku yake ya kuzaliwa leo

View original post

Advertisements