AJALI : BASI LA BUNDA LAGONGA TRENI NA KUUA.


larrybway91

Image

Basi mali ya kampuni ya Bunda Express lililokuwa linatokea mkoani Dodoma kuelekea Mwanza,  limegonga gari moshi(Treni) kwenye kivuko cha reli eneo la Manyoni Singida, huku watu wanne wakidaiwa kupoteza maishana majeruhi kukimbizwa katika hospitali ya Manyoni iliyopo mkoani hapo.

Endelea kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi sambamba na picha zaidi za ajali hiyo.

Image

Image

View original post

VIJANA 10 WA KITANZANIA WANAOKIMBIZA KWA SWAGZ NA KUTUPIA PAMBA KALI KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM


larrybway91

Unapoongelea suala la mtu kupendeza au kuwa na mvuto kwa watu wa nje wanaokutazama bila shaka lazima ugusie vipengele kama vile Mavazi,  Unadhifu au mtu kuwa smart wakati wote,  mwili unaovutia na unaokubali kila aina ya nguo vilevile na  jinsi ya kupangilia mavazi na kuwa wa kisasa zaidi.

Orodha hii tuliyotoa ya vijana 10 wa kiTanzania wanaojua kupigilia pamba inavyotakiwa kwenye mtandao wa Instagram, inatokana na vigezo tulivyoviangalia na hatujachagua watu kwa ajili ya majina au umaarufu walionao,  inawezekana wakawepo wengine wanaojua kutupia zaidi ila kwa vigezo tumeona hawa jamaa wanajitaidi na kustahili pongezi.

Fahamu kwamba Personality Counts,  Personality Matter.. Watazame na kama unaComment yoyote  usisite kutuambia..

(1). Jux

Image

Image

Image

(2).Ammah Moshine

Image

Image

Image

(3).Amily Roley

Image

Image

Image

(4).Famousist

Image

Image

Image

(5).Robby One

Image

Image

Image

(6).Diamond Platnumz

Image

Image

Image

(7).Hamisi Mandi – BDozen

Image

Image

Image

(8).King Kapita

Image

Image

Image

(9).Jay Contena

ImageImage

Image

(10). DJ Vasley

Image

Image

Image

View original post

UGANDA YAWEKEWA VIKWAZO NA BENKI YA DUNIA BAADA YA RAIS MUSEVENI KUHIDHINISHA SHERIA MPYA DHIDI YA MAPENZI YA JINSIA MOJA.


larrybway91

Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .

Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.

Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.

Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.

Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.

Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha…

View original post 61 more words

MCHUMBA WA NICK MINAJ AONGEZA TATTOO NYINGINE YENYE SURA YAKE.


larrybway91

Katika kutimiza ule msemo wa watoto wa mjini unaosema, Mahaba Niue,  Safaree Samwel ambaye ni mchumba wa muda mrefu  wa rapa wa kike anayetokea katika Crew tajiri ya Young Money, NiCk Minaj, ameongeza mchoro mwingine wa tattoo mwilini mwake wenye sura ya Minaj upande wa kulia wa kifua chake.

SB Gets Nicki tat

Safaree akionyesha Tattoo yake ya kwanza yenye sura ya Minaj .

Awali Safaree aliwahi kuchora tattoo  iliyokuwa na sura ya Minaj katika mkono wake wa kulia na kisha kuposti video mtandaoni. Baadhi ya wadau  waliopata nafasi ya kutoa maoni yao kufuatia kitendo hicho walimponda jamaa huyo kwa kudai kwamba anaweza akapata wakati mgumu endapo ikatokea wakaachana.SB Gets new tats of Nicki Minaj's face and name on his chest

Katika picha ni Tattoo yenye sura ya Nick Minaj kama inavyoonekana upande wa kulia wa kifua chake.

View original post