MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YACHANGIA KANSA TANZANIA: DK NGOMA


Jumanne ijayo tarehe Nne Februari mwaka 2014, ni siku ya saratani duniani. Maudhui ya mwaka huu ni vunja fikra potofu kuhusu saratani. Maadhimisho haya yanakuja wakati ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa saratani duniani ikisema ugonjwa huo unazidi kuenea nchi maskini ambako tiba ni changamoto,. Halikadhalika mfumo wa maisha unadaiwa kuwa mojawapo ya sababu za kuenea zaidi kwa ugonjwa huo. Assumpta Massoi katika makala hii ameangazia… Continue reading MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YACHANGIA KANSA TANZANIA: DK NGOMA

CD mpya Bongo Tambarare ya FFU-Ughaibuni yatua nchini Ethopia.


Addis Ababa,Ethopia, Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya “Bongo Tambarare” ,baada ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze kupigwa katika vituo vya redio nchini humo.wadau wa Ethopia wamevutiwa sana na mdundo uliomo… Continue reading CD mpya Bongo Tambarare ya FFU-Ughaibuni yatua nchini Ethopia.

Tanesco kutumia shilingi 48 bilioni kusambaza Umeme Vijijini Singida


Meneja wa TANESCO mkoa wa Singida, Maclean Mbonile akiwa ofisini kwake kutekeleza majukumu yake ya kila siku.(Picha na Nathaniel Limu). Na Nathaniel Limu, Singida SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa singida linatarajia kutumia zaidi ya shs. 48.3 bilioni kugharamiwa awamu mbili za miradi ya usambazaji umeme vijijini chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN). Akizungumuza na waandishi wa habari ofisini kwake hivi karibun,… Continue reading Tanesco kutumia shilingi 48 bilioni kusambaza Umeme Vijijini Singida

Rais Kikwete akagua Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba Dodoma


Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua ukarabati na marekebisho yanayoendelea tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la Katiba baadaye mwezi huu. Pichani juu kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda na kushoto ni WAZIRI wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), William… Continue reading Rais Kikwete akagua Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba Dodoma

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kuanza kujenga eneo la Msata Bagamoyo Pwani


Makamu mwenyekiti wa Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa  Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao 30,000 . kulia kwa makamu  wa chuo ni Mkuu wa chuo cha IFM  Profesa Godwin Mjema  na kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinachotoa elimu kwa njia ya… Continue reading Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kuanza kujenga eneo la Msata Bagamoyo Pwani