Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kuanza kujenga eneo la Msata Bagamoyo Pwani


IMG_1989

Makamu mwenyekiti wa Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa  Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao 30,000 . kulia kwa makamu  wa chuo ni Mkuu wa chuo cha IFM  Profesa Godwin Mjema  na kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinachotoa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo.(Picha na Chris Mfinanga).

View original post 19 more words

Advertisements