Dkt. Fennela Mukangara afungua kikao kazi cha Maafisa habari na Mawasiliano wa Serikali


  • IMG_4746

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano (hawapo pichani) na kuwataka kuendelea kutumia mitandao ya kijamii katika kuwasiliana na wananchi, wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Leo Mkoani Tanga. kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

View original post 325 more words

Advertisements