Rais Kikwete akagua Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba Dodoma


b6

Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua ukarabati na marekebisho yanayoendelea tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la Katiba baadaye mwezi huu. Pichani juu kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda na kushoto ni WAZIRI wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), William Lukuvi.

View original post 399 more words

Advertisements