Tanesco kutumia shilingi 48 bilioni kusambaza Umeme Vijijini Singida


DSC06180

Meneja wa TANESCO mkoa wa Singida, Maclean Mbonile akiwa ofisini kwake kutekeleza majukumu yake ya kila siku.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa singida linatarajia kutumia zaidi ya shs. 48.3 bilioni kugharamiwa awamu mbili za miradi ya usambazaji umeme vijijini chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).

View original post 216 more words

Advertisements