MWIGULU AWATOLEA UVIVU VIONGOZI WA UMMA.


Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ametoboa madudu aliyoyaona kipindi kifupi alichokaa kwenye ofisi hiyo baada ya kuapisha hivi karibuni. Alisema amegundua sheria ya ununuzi ni uchochoro wa wizi wa kistaarabu unaotishia ustawi wa taifa. Mwigulu alisema ni wizi wa kutisha kuona mtu binafsi akinunua soksi dukani analipa Sh2,000, lakini akitumia sheria ya ununuzi soksi ya aina ile ile itanunuliwa kwa Sh80,000. Alisema sheria hiyo… Continue reading MWIGULU AWATOLEA UVIVU VIONGOZI WA UMMA.

Mapambano dhidi ya ukeketaji Tanzania , safari ni ndefu lakini kuna matumaini.


Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na wasichana inaelezwa kuwa mila na desturi ni kikwazo kikubwa katika harakati za kutokomeza vitendo hivyo. Katika mahojiano na Joseph Msami wa idhaa hii Mtaalamu wa masuala ya jinsia kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu, UNFPA nchini Tanzania, Christine Kwayu amesema licha ya mila hizo UNFPA kwa kushirikiana na wadau wanajitahidi kuelimisha… Continue reading Mapambano dhidi ya ukeketaji Tanzania , safari ni ndefu lakini kuna matumaini.

Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari


Katika kuadhimisha siku ya Saratani Duniani. Inaripotiwa kuwa vijana ambao ni tegemeo la taifa inazidi kupungua kutokana kuangamia kwa saratani ikiwemo ya koo. Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini umeonyesha asilimia 20 ya saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomo maarufu kama ‘Oral Sex”. Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na njia mbalimbali ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye… Continue reading Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari