Kanusho la Mh. Lowassa kuhusiana na umiliki wa kurasa za mitandao ya kijamii


Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh. Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram nk. Zinazoonye kuwa mmiliki wake ni Mh. Edward Lowassa. Ukweli ni kwamba hizo kurasa zote hazimilikiwi na Mh. Lowassa. Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo,hazihusiani kwa namna yoyote na Mh. Lowassa.  Hata hivyo Mh.… Continue reading Kanusho la Mh. Lowassa kuhusiana na umiliki wa kurasa za mitandao ya kijamii

REFA ALIYEMLIMA NYEKUNDU RONALDO AFUNGIWA MWEZI MMOJA NA KUPIGWA STOP KABISA KUCHEZESHA MECHI ZA REAL MADRID


REFA aliyemuonyesha kadi nyekundu Cristiano Ronaldo wakati Real Madrid ikitoa sare na Athletic Bilbao mwishoni mwa wiki iliyopita amefungiwa kwa sababu za kuvurunda katika maamuzi yake. Kamati ya Ufundi ya Marefa Hispania (CTA) limemfungia kwa mwezi mmoja Miguel Angel Ayza Gamez na hataruhusiwa kabisa kuchezesha mechi za Real msimu huu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Hispania, kuna hatari zaidi akaondolewa kabisa katika orodha ya marefa… Continue reading REFA ALIYEMLIMA NYEKUNDU RONALDO AFUNGIWA MWEZI MMOJA NA KUPIGWA STOP KABISA KUCHEZESHA MECHI ZA REAL MADRID