REFA ALIYEMLIMA NYEKUNDU RONALDO AFUNGIWA MWEZI MMOJA NA KUPIGWA STOP KABISA KUCHEZESHA MECHI ZA REAL MADRID


REFA aliyemuonyesha kadi nyekundu Cristiano Ronaldo wakati Real Madrid ikitoa sare na Athletic Bilbao mwishoni mwa wiki iliyopita amefungiwa kwa sababu za kuvurunda katika maamuzi yake.
Kamati ya Ufundi ya Marefa Hispania (CTA) limemfungia kwa mwezi mmoja Miguel Angel Ayza Gamez na hataruhusiwa kabisa kuchezesha mechi za Real msimu huu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Hispania, kuna hatari zaidi akaondolewa kabisa katika orodha ya marefa wa La Liga kutokana na madudu aliyoyafanya katika mechi hiyo.
article-2553714-1B28E72E00000578-320_634x827

Imemtokea puani: Ayza Gamez, refa aliyemuonyesha kadi nyekundu Cristiano Ronaldo katika mechi baina ya Real Madrid na Athletic Bilbao Jumapili iliyopita, naye amefungiwa mwezi mmoja na kuzuiwa kabisa kuchezesha mechi za Real msimu huu
Bewildered: The Portuguese could scarcely believe he had been sent off
Mdogo mdogo: Ronaldo akiondoka taratibu uwanjani baada ya kulimwa nyekundu
Ronaldo alitolewa nje kwa mara ya saba katika historia yake ya soka dakika ya 75 siku hiyo timu hizo zikifungana…

View original post 67 more words