MISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV


Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo mkurugenzi Ma Winny Casey (wa kwanza kushoto)  Wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV wakimsalimia Miss Tanzania USA Pageant na kumwimbia nyimbo mbalimbali za kiswahili ukiwemo wimbo wa Taifa.  Miss Tanzania USA Pageant akijitambulisha na kuwaambia… Continue reading MISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV

MBEYA CITY YAISHUSHA SIMBA SC MKWAKWANI.


Na Bin Zubeiry MBEYA City imezinduka jioni ya leo baada ya kuilaza mabao 2-1 Mtibwa Sugar Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Mabao ya Mbeya City yamefungwa na Peter Michael dakika ya pili na Hamad Kibopile dakika ya 67, wakati la Mtibwa limefungwa na Jamal Mnyate dakika ya 53. Mbeya City sasa wanatimiza pointi 34 na kurejea… Continue reading MBEYA CITY YAISHUSHA SIMBA SC MKWAKWANI.