RUBANI ALIYETEKA ETHIOPIANA HATIMAYE AJISALIMISHA


Rubani msaidizi wa ndege ya Shirika la ndege l;a Ethiopia iliyokluwa uikielekea Roma Italia aklitejka ndege hiyop Jumatatu na kurtuia salama huko Geneva ambako alikamatwa. Maafisa wanasema rubani huyo asiyetajwa jina akiwa katika umri wa miaka ya thelathini alichukua udhibiti wa ndege hiyo ya 767 kwa kufunga mlango wa rubani baada ya rubani kutoka kuelekea kujisaidia. Maafisa wa Uswisi wanasema mara ndege hiyo ilipotua Geneva… Continue reading RUBANI ALIYETEKA ETHIOPIANA HATIMAYE AJISALIMISHA

WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA. x


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika. Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz ukanda wa Afrika ni kutembelea kampuni hiyo kubwa na ya siku nyingi… Continue reading WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA. x

UNIC YAHAMASISHA VIJANA MKOANI DODOMA KUANZISHA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA MASHULENI


Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama, akibadilishana mawazo na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kikuyu Mwl. Zaituni Mkoyi alipotembelea shuleni hapo kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi kuanzisha vilabu vya Umoja wa Mataifa. Katikati ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa shule hiyo Bw. Francis Tumaini. Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.… Continue reading UNIC YAHAMASISHA VIJANA MKOANI DODOMA KUANZISHA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA MASHULENI