RUBANI ALIYETEKA ETHIOPIANA HATIMAYE AJISALIMISHA


image
Rubani msaidizi wa ndege ya Shirika la ndege l;a Ethiopia iliyokluwa uikielekea Roma Italia aklitejka ndege hiyop Jumatatu na kurtuia salama huko Geneva ambako alikamatwa.

Maafisa wanasema rubani huyo asiyetajwa jina akiwa katika umri wa miaka ya thelathini alichukua udhibiti wa ndege hiyo ya 767 kwa kufunga mlango wa rubani baada ya rubani kutoka kuelekea kujisaidia.

Maafisa wa Uswisi wanasema mara ndege hiyo ilipotua Geneva rubani. Huyo msaidizi alitoka kwenye ndege hiyo kwa kutumia kamba na kujisalimisha kwa maafisa na kusema kwamba alikuwa ni haramia anayetafuta hifadhi ya kisiasa kwasababu alikuwa akiogopa kuteswa nyumbani.

Chanzo cha mateso hayo hakijafahamika mara moja.Ndege hiyo ilitokea mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa na ilikuwa imebeba abiria 202.
http://www.voanews.com

View original post

Advertisements