WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA. x


5

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika.

Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz ukanda wa Afrika ni kutembelea kampuni hiyo kubwa na ya siku nyingi ya magari hapa duniani na kuangalia aina mpya za bidhaa ambazo zipo sokoni na kupata kujifunza kazi mbalimbali za kijamii ambazo kampuni hiyo ya CFAO Motors inafanya hapa Tanzania.

Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika kutoka nchi za Rwanda, Sudan, Afrika Kusini na nchi zingine wamekuja nchi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu na wamefanikiwa kujifunza shughuli mbalimbali za ufundi na utendaji kazi wa kampuni ya CFAO Tanzania.

6

Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes…

View original post 247 more words

Advertisements