REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA


DSC_0851

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma.

DSC_0006

Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi wa redio za jamii kutoka Tanzania, warsha hiyo inafanyika mjini Dodoma.

DSC_0016

Washiriki wa warsha wakimsikiliza Bw. Jacob Mulikuza kutoka Shirika la Search for Common Grounds – SFCG (hayupo pichani) akielezea jambo wakati wa warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro inayoendelea mjini Dodoma kwa waandishi na watangazaji wa Redio za Jamii nchini iliyofadhiliwa na UNESCO kupitia mradi wa DEP.

DSC_0018

DSC_0023

Mmoja wa washiriki akifafanua jambo katika warsha hiyo iliyojadili namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG)…

View original post 183 more words

Advertisements