WITO WATOLEWA KWA BALOZI ZA TANZANIA ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU.


Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahiri wake wa kucheza na nyoka Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula alipokwenda kujitambulisha rasmi kwenye Ubalozini wa Tanzania uliopo Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014.

Msanii wa siku nyingi na mahili wa kucheza na nyoka Bi. Salma Moshi aliongea na Mhe. Balozi Libetara Mulamula alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tamzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akimsikiliza msanii wa siku nyingi, Bi Salma Moshi (hayupo pichani) alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014.

Afisa Mgendi Nzowa akiwa kwenye mkutano huo.

Afisa Suleiman Saleh akijumuika pamoja na Balozi kwenye mkutano huo.


Wito huo umetolewana msanii wa siku nyingi wa kucheza na nyoka Mama Salma…

View original post 310 more words

Advertisements