DIAMOND PLATNUMZ AJAZA NYOMI YA WATU KATIKA SHOW YAKE JIJINI MWANZA.


Originally posted on larrybway91:
    Diamond na Crew yake nzima ya wasafi wakitoka katika hoteli waliyofikia.     Palikuwa hapatoshi aisee..     Pichani ni binti ambaye alishindwa kujizuia na kuamua kwenda kumsalimia Rais wa Wasafi jijini Mwanza. Continue reading DIAMOND PLATNUMZ AJAZA NYOMI YA WATU KATIKA SHOW YAKE JIJINI MWANZA.

DAKIKA 90 ZA DUNIA: Kwanini Facebook imetumia dola bilioni 19 kununua WhatsApp?


Photo: Mobile88.com Kama wewe ni mmoja wa wanaotumia njia ya mawasiliano iliyojipatia umaarufu ya WhatsApp, basi ujue kuwa nawe ni miongoni mwa wateja takribani nusu bilioni walioufanya mtandao huo kuwa maarufu zaidi duniani kwa kipindi kifupi tu. Ni umaarufu huu uliofanya kampuni kubwa ya mawasiliano ya Facebook wiki hii kuona umuhimu wa kutumia dola za kimarekani bilioni 19 kununua WhatsApp. Lakini kwanini kampuni itumie kiasi… Continue reading DAKIKA 90 ZA DUNIA: Kwanini Facebook imetumia dola bilioni 19 kununua WhatsApp?

NICK MINAJ ASHITAKIWA NA MBUNIFU WAKE WA NYWELE.


Originally posted on larrybway91:
Aliyekuwa mbunifu wa nywelewa rapa Nick Minaj,  Terrence Davidson amemtuhumu diva huyo anayetokea katika crew ya YMCMB kwa kukiua mipango yao ya biashara kwa kuuza mawigi yaliyokuwa yanafanania na muundo aliobuni na hivyo kuamua kumshtaki na kutaka amlipe fidia ya kiasi cha dola za kimarekani Milioni 30. Terrence alimfungulia mashtaka Onika Maraj  ambaye anatumia jina la jukwaani Nick Minaj kwa kuvunja… Continue reading NICK MINAJ ASHITAKIWA NA MBUNIFU WAKE WA NYWELE.

TETESI : JANET JACKSON AFIKIRIA KUDAI TALAKA KWA MUMEWE BILIONEA WISSAM AL MANA.


Originally posted on larrybway91:
Tetesi zilizoenea kwenye vichwa vingi vya habari na mitandao ni kuhusu hatima ya ndoa kati ya mwanamuziki wa Marekani Janet jackson na mumewe ambaye ni bilionea Wissam Al mana kuonekana kuingia doa… Chanzo kimoja maarufu cha habari za mastaa kilidai kwamba Janet anafikiria kudai talaka pamoja na malipo ya ndoa hiyo iliyofungwa kwa mkataba maalum(Prenup) huku sababu kuu ikitajwa kuwa ni… Continue reading TETESI : JANET JACKSON AFIKIRIA KUDAI TALAKA KWA MUMEWE BILIONEA WISSAM AL MANA.

DIAMOND PLATNUMZ KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA ZITAKAZOFANYIKA NCHINI MAREKANI.


Originally posted on larrybway91:
Mwanamuziki  Diamond platnumz anakuwa msanii pekee kutoka Tanzania aliyechaguliwa kwenda kushiriki   katika tuzo za AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS(AFRIMMA) zinazotarajia kufanyika July 26 mwaka huu  katika ukumbi maarufu wa Eiseman Center uliopo eneo la Richardson katika mji wa Texas nchini Marekani  . Tuzo hizo zinazojumuisha aina  ya muziki kutoka barani Afrika ikiwemo Afrobeats, Assiko, Bongo, Decale, Funana, Genge, Highlife, Hiplife, Kwaito, Lingala… Continue reading DIAMOND PLATNUMZ KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA ZITAKAZOFANYIKA NCHINI MAREKANI.