DIAMOND PLATNUMZ KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA ZITAKAZOFANYIKA NCHINI MAREKANI.


larrybway91

Mwanamuziki  Diamond platnumz anakuwa msanii pekee kutoka Tanzania aliyechaguliwa kwenda kushiriki   katika tuzo za AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS(AFRIMMA) zinazotarajia kufanyika July 26 mwaka huu  katika ukumbi maarufu wa Eiseman Center uliopo eneo la Richardson katika mji wa Texas nchini Marekani  .

Tuzo hizo zinazojumuisha aina  ya muziki kutoka barani Afrika ikiwemo Afrobeats, Assiko, Bongo, Decale, Funana, Genge, Highlife, Hiplife, Kwaito, Lingala and Soukous hivyo kutegemewa kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wakubwa kutoka kila pembe ya Afrika huku mshereheshaji wa shughuli hiyo akitajwa kuwa mchekeshaji maarufu kutoka nchini Nigeria,  Basket Mouth ..

Vipengele vvitakavyowaniwa na washiriki waliochaguliwa kuwania tuzo hizo  ni pamoja na…

Best Male West Africa
Best Female West Africa

Best Male East Africa
Best Female East Africa

Best Male Central Africa
Best Female Central Africa

Best Male Southern Africa
Best Female Southern Africa

Best African Group
Best Male Diaspora

Best Female Diaspora
Best Gospel Artist
Best Male Traditional

Best Female…

View original post 36 more words