Hivi ndivyo ilivyokuwa usiku wa Valentine’s Day na Skylight Band ndani Thai Village


DSC_0416

Lubea wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band.

DSC_0419

Mashabiki wa Skylight Band wakipata shots za Tequila bure kwenye usiku maalum wa wapendanao uliofana Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0435

Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye usiku wa wapendanao juma lililopita huku akisindikizwa na Mary Lucos, Sony Masamba na Sam Mapenzi.

DSC_0611

Wadadaz na Wakaka wakijimwaga na burudani ya Skylight Band.

DSC_0448

Walipendezaje…: Digna Mbepera akifanya yake jukwaani.

DSC_0491

MAJEMBE YA SKYLIGHT BAND….Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo katika hisia kali kwenye nyimbo za malavidavi huku akisindikizwa na Joniko Flower pamoja na Sony Masamba.

DSC_0628

Palikuwa hapatoshi….kama ulikosa juma lililopita basi burudani inaendelea leo pale pale Thai Village.

DSC_0503

Birthday Girl….Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (katikati) sambamba na Winfrida Richard pamoja na Digna Mbepera waking’ara kwa jukwaani kwenye usiku…

View original post 113 more words

Advertisements