NICK MINAJ ASHITAKIWA NA MBUNIFU WAKE WA NYWELE.


larrybway91

nicki-minaj-hairstylist-terrence-davidson Aliyekuwa mbunifu wa nywelewa rapa Nick Minaj,  Terrence Davidson amemtuhumu diva huyo anayetokea katika crew ya YMCMB kwa kukiua mipango yao ya biashara kwa kuuza mawigi yaliyokuwa yanafanania na muundo aliobuni na hivyo kuamua kumshtaki na kutaka amlipe fidia ya kiasi cha dola za kimarekani Milioni 30.

Terrence alimfungulia mashtaka Onika Maraj  ambaye anatumia jina la jukwaani Nick Minaj kwa kuvunja mkataba uliokuwepo baina yake na kurudisha nyuma juhudi zake kwa kuharibu muundo wa kazi yake kwa kumdanganya na kumuibia,..  wakili wa Davidson,  Christopher Chestnut alisema  mteja wake anapaswa alipwe angalau dola milioni 30 ikiwa kama sehemu ya fidia.

Davidson ambaye anaishi katika mji wa Georgia nchini Marekani alisema katika kesi yake ya kwamba  alianza kufanya kazi na Minaj mapema mwaka 2010 na kufanikiwa kumtengenezea mawigi ya aina mbalimbali ambayo alikuwa akiyatumia ikiwemo kwenye preshow for MTV’s Video Music Awards na kwenye uzinduzi wa video yake ya SuperBass na kurudisha nyuma…

View original post 11 more words