PICHA ZA AJALI MBAYA ENEO LA MIKESE, MOROGORO LEO.


larrybway91

Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund.
 
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea.
 Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka.
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo.
Source : Michuzi

View original post

Advertisements