DRAKE NA RIHANNA WAFUMWA TENA.


Originally posted on larrybway91:
Harufu ya kurudiana bado inaendelea kusambaa kufuatia mwanamuziki Rihanna na staa wa kibao cha Worse Behaviour, Drake, kuonekana jijini Paris, Ufaransa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa L’Avenue. Hata ivyo Drake aliweza  kuondoka eneo la tukio pasipo kupigwa picha,  lakini kwa upande wa Rihanna ambaye licha ya kujitaidi kuziba uso wake na koti lake la manyoya,  haikuwa mwarobaini kwa mapaparazi… Continue reading DRAKE NA RIHANNA WAFUMWA TENA.

USAJILI WA WAYNE ROONEY MANCHESTER UNITED FUNIKA BOVU, KULIPWA PAUNI 300,000 KWA WIKI.


Originally posted on larrybway91:
Mshambuliaji hatari wa kikosi cha Mashetani wekundu,  Muingereza Wayne Rooney anakuwa mchezaji nambari moja Duniani kwa kulipwa mpunga mrefu zaidi baada ya kusaini mkataba wake mpya wa kuichezea klabu ya Manchester United  kwa ada ya Pauni 300,000 kwa wiki. Wasakata kabumbu wengine wanaochezea ligi kuu ya England(EPL) ambao wanaomfuatia Rooney kwa kulipwa hela nyingi ni pamoja na Yaya Toure – £240,000… Continue reading USAJILI WA WAYNE ROONEY MANCHESTER UNITED FUNIKA BOVU, KULIPWA PAUNI 300,000 KWA WIKI.

After Party ya Lady in Red yafana


Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania. …Ally Rehmtulla, Martin Kadinda watunukiwa  vyeti vya mafanikio Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka… Continue reading After Party ya Lady in Red yafana