After Party ya Lady in Red yafana


DSC_0549

Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania.

…Ally Rehmtulla, Martin Kadinda watunukiwa  vyeti vya mafanikio

Na Andrew Chale

HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’  usiku wa Jumamosi Februari 22, lilikuwa la aina yake kwa kuvutia watu mbali mbali ndani ya Ukumbi na mgahawa wa kisasa wa Nyumbani Lounge, ambapo pia wadau walikabidhiwa vyeti.

Tukio hilo la aina yake ambalo lilivuta umati mkubwa wakiwemo wadau wa ubunifu na mitindo nchini pamoja na watu maalufu,  Pia walipata  kupita kwenye zuria jekundu (red carpet) na kupata picha za ukumbusho wa tukio hilo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji…

View original post 531 more words

Advertisements