DRAKE NA RIHANNA WAFUMWA TENA.


larrybway91

article-2566827-1BC7821300000578-294_634x809 Harufu ya kurudiana bado inaendelea kusambaa kufuatia mwanamuziki Rihanna na staa wa kibao cha Worse Behaviour, Drake, kuonekana jijini Paris, Ufaransa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa L’Avenue.

Hata ivyo Drake aliweza  kuondoka eneo la tukio pasipo kupigwa picha,  lakini kwa upande wa Rihanna ambaye licha ya kujitaidi kuziba uso wake na koti lake la manyoya,  haikuwa mwarobaini kwa mapaparazi ambao walikuwa tayari  wameshajipanga ivyo kuweza kumchukua picha za kutosha.. 

article-2566827-1BC7820400000578-322_634x816article-2566827-1BC7821B00000578-727_634x765

View original post

Advertisements