KATTY PERRY AKUBALI KIMTINDO BUSU LA MILEY CYRUS.


larrybway91

View image on Twitter Mkali wa kibao cha ‘Dark Horse’ Katty perry aliamua kupotezea busu alilopigwa na Miley Cyrus katika show yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Staples Center uliopo Los Angels, Marekani.

Tukio hilo lilitokea wakati Mwanamuziki Miley Cyrus alipokuwa jukwaani kisha kuamua kushuka chini na kwenda kumkiss Katty Perry ambae alionekana kama kupotezea busu hilo huku wakishuhudia na mastaa wenzao waliohudhuria tamasha hilo akiwemo Hillary Duff,  Max George,  Nicole Rich,  Joel Madden,  Kendall Jenner na and Khloe Kardashian.

haikuishia hapo kwani  baadae Katty alitweet kupitia akaunti yakeya Twitter na kufunguka kuwa  amependezwa na kitendo alichofanyiwa na mwanamuziki huyo. 

Hii ni mojawapo ya Twwet aliyoandika na Video ya jinsi ishu iyo ilivyotokea.

View original post

Advertisements