VIDEO : HUDDAH MONROE NA COLONEL MOUSTAPHA WAONGELEA KUHUSU UHUSIANO WAO.


Originally posted on larrybway91:
Baada ya kuenea kwa picha za kimitego mtandaoni na tetesi za kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi  kati ya msanii wa muziki nchini Kenya,  Colonel Moustapha na Huddah Monroe, hatimaye wawili hao wameweza kufunguka bila ya kumung’unya  katika mahojiano na kituo cha  KTN.. Continue reading VIDEO : HUDDAH MONROE NA COLONEL MOUSTAPHA WAONGELEA KUHUSU UHUSIANO WAO.

KATTY PERRY AKUBALI KIMTINDO BUSU LA MILEY CYRUS.


Originally posted on larrybway91:
Mkali wa kibao cha ‘Dark Horse’ Katty perry aliamua kupotezea busu alilopigwa na Miley Cyrus katika show yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Staples Center uliopo Los Angels, Marekani. Tukio hilo lilitokea wakati Mwanamuziki Miley Cyrus alipokuwa jukwaani kisha kuamua kushuka chini na kwenda kumkiss Katty Perry ambae alionekana kama kupotezea busu hilo huku wakishuhudia na mastaa wenzao waliohudhuria tamasha hilo akiwemo… Continue reading KATTY PERRY AKUBALI KIMTINDO BUSU LA MILEY CYRUS.

WHATSAPP YAZINGUA KWA SAA 3 BAADA YA KUNUNULIWA NA FACEBOOK.


Originally posted on larrybway91:
WhatsApp, the rapidly expanding mobile messaging app, suffered an outage for more than three hours on Saturday, frustrating users just days after its acquisition by Facebook  for $19 billion. “WhatsApp service has been restored. We are so sorry for the downtime…,” WhatsApp tweeted to its more than 1 million Twitter followers on Saturday around 5:48 p.m. EST (2248 GMT). Earlier, the… Continue reading WHATSAPP YAZINGUA KWA SAA 3 BAADA YA KUNUNULIWA NA FACEBOOK.