RAIS MUGABE ASHEHEREKEA MIAKA 90 YA KUZALIWA KWAKE


Robert Mugabe Rais aliye mkongwe kuliko wote barani Afrika Robert Mugabe amefikisha miaka 90 Ijumaa.

Taarifa ya kidiplomasia ya siri iliyotoka mwaka 2008 ya Wikileaks ilisema Bw.Mugabe ana kansa ya kibofu.

Neno la Mzee Mugabe baada ya kugonga miaka 90 katika sherehe za Birthday hiyo zilifanyika Jumapili kutokana na mzee Mugabe kuwa nje ya nchi kwa upasuaji wa jicho.

Hii ni moja tu ya mambo aliyozungumza katika hotuba yake ndefu ya saa nzima.
Bofya kusikiliza.

View original post

Advertisements