USAJILI WA WAYNE ROONEY MANCHESTER UNITED FUNIKA BOVU, KULIPWA PAUNI 300,000 KWA WIKI.


larrybway91

Mshambuliaji hatari wa kikosi cha Mashetani wekundu,  Muingereza Wayne Rooney anakuwa mchezaji nambari moja Duniani kwa kulipwa mpunga mrefu zaidi baada ya kusaini mkataba wake mpya wa kuichezea klabu ya Manchester United  kwa ada ya Pauni 300,000 kwa wiki.
Wasakata kabumbu wengine wanaochezea ligi kuu ya England(EPL) ambao wanaomfuatia Rooney kwa kulipwa hela nyingi ni pamoja na
Yaya Toure – £240,000 kwa wiki.
Sergio Aguero.
Robin van Persie – £225,000 kwa wiki.
Luis Suarez£220,000

View original post

Advertisements