VIDEO : HUDDAH MONROE NA COLONEL MOUSTAPHA WAONGELEA KUHUSU UHUSIANO WAO.


larrybway91

HUDDAH Baada ya kuenea kwa picha za kimitego mtandaoni na tetesi za kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi  k ati ya msanii wa muziki nchini Kenya,  Colonel Moustapha na Huddah Monroe, hatimaye wawili hao wameweza kufunguka bila ya kumung’unya  katika mahojiano na kituo cha  KTN..

View original post

Advertisements