PAULA PATTON ATANGAZA KUACHANA NA ROBIN THICKE.


Originally posted on larrybway91:
Mcheza filamu mrembo,  Paula Patton, ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mumewe, mwanamuziki Robbin Thicke,  wawili hao walidumu kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa takribani miaka ishirini huku wakiwa na mtoto mmoja wa kiume waliyempata mwaka 2010,  kama ilivyo kwa mahusiano mengine mastaa hao wameamua kila mmmoja akachukua hamsini zake. ”We will always love each other and be best friends, however, we have… Continue reading PAULA PATTON ATANGAZA KUACHANA NA ROBIN THICKE.

KICHUPA KIPYA : 50 CENT – FUNERAL [Official Video].


Originally posted on larrybway91:
Baada ya kutangaza rasmi kung’atuka katika rekodi label ya Shady/Interscope aliyofanya nayo kazi kwa kipindi kirefu,  Rapa Curtis jackson ei kei ei 50 Cent ameachia   Video mpya  ya ngoma yake inayoitwa FUNERAL ikiwa ni siku chache tuu tangu alipotangaza kuachana na Shady, itazame hapo chini..   Continue reading KICHUPA KIPYA : 50 CENT – FUNERAL [Official Video].

OKOCHA AJUTIA KUKOSA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KATIKA HISTORIA YAKE YA MPIRA.


Originally posted on larrybway91:
Aliyekuwa kiungo mkabaji wa kikosi cha Super Eagles ‘Nigeria’, Jay Jay Okocha, amesema kwamba anajutia kitendo cha kukosa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika inayotolewa kila mwaka na shirikisho la mpira Africa(CAF) katika historia yake ya mpira. Akiongea na mashabiki wake,  staa huyo alisema kwamba ”Najutia kitendo cha kukosa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika,  nilitegemea ningeweza kupata kipindi nipo… Continue reading OKOCHA AJUTIA KUKOSA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KATIKA HISTORIA YAKE YA MPIRA.