KICHUPA KIPYA : 50 CENT – FUNERAL [Official Video].


larrybway91

Baada ya kutangaza rasmi kung’atuka katika rekodi label ya Shady/Interscope aliyofanya nayo kazi kwa kipindi kirefu,  Rapa Curtis jackson ei kei ei 50 Cent ameachia   Video mpya  ya ngoma yake inayoitwa FUNERAL ikiwa ni siku chache tuu tangu alipotangaza kuachana na Shady,

itazame hapo chini..

 

View original post