PAULA PATTON ATANGAZA KUACHANA NA ROBIN THICKE.


larrybway91

Mcheza filamu mrembo,  Paula Patton, ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mumewe, mwanamuziki Robbin Thicke,  wawili hao walidumu kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa takribani miaka ishirini huku wakiwa na mtoto mmoja wa kiume waliyempata mwaka 2010,  kama ilivyo kwa mahusiano mengine mastaa hao wameamua kila mmmoja akachukua hamsini zake.

”We will always love each other and be best friends, however, we have mutually decided to separate at this time”, Paula Patton aliliambia gazeti la People.

View original post

Advertisements