POST YA USTADH JUMA KUHUSIANA NA TUKIO LA PNC


BAADA YA MANENO NA STATUS ZA WATU KUTOKA MITANDAO MINGI YA KIJAMII XAXA HIKI NDIO USTADHI JUMA NA MUSOMA ALICHO KIANDIKA KUPITIA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM. SOMA HAPO UJIONEE —> Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading POST YA USTADH JUMA KUHUSIANA NA TUKIO LA PNC

KID INK AACHIA NGOMA MPYA BURE BAADA YA KUFIKISHA MASHABIKI LAKI 5 TWITTER.


Originally posted on larrybway91:
    Staa wa kibao cha Show Me, Kid Ink ameachia nyimbo yake mpya inayoitwa ‘Woke up this Morning ikiwa ni siku chache tangu alipotangaza kupitia akaunti yake ya Twitter kuwa atatoa nyimbo bure kama atafikisha Followers laki 5 kwenye akaunti yake ya Twitter.   ”500k on Twitter!! Here is the FREE new song as promised ‪#‎AlumniArmy‬” aliandika rapa huyo kwenye … Continue reading KID INK AACHIA NGOMA MPYA BURE BAADA YA KUFIKISHA MASHABIKI LAKI 5 TWITTER.