DRAKE NA RIHANNA WAWATEGA MASHABIKI JIJINI PARIS UFARANSA.


larrybway91

Kutimiza ule msemo wa wahenga unaosema, Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi, kwa mara nyingine tena ,  Staa wa kibao cha Worse Behaviour, Drake, aliweza kumpandisha Rihanna kwenye steji katika ziara yake ya muziki iliyopewa jina la Would You like a Tour? iliyofanyikajijini Paris Ufaransa kwenye ukumbi mkubwa wa   Palais Omnisports de Paris Bercy.

Mastaa hao waliweza kuperform  ngoma kali walizowahi kushirikiana kipindi cha nyuma  ikiwemo    ‘Take care’ na  Pour it up,  huku BadGirlRiri akitwerk mbele ya Drizzy hali ilyoibua kelele kwa mashabiki waliohudhuria  shoo hiyo. ..Wawili hao wameonyesha kila dalili ya kuwa huenda wakawa wameamua kumwaga mtama kwenye kuku wengi..

Tazama Video hizi uone  mambo yalivyokuwa..

View original post

Advertisements