KID INK AACHIA NGOMA MPYA BURE BAADA YA KUFIKISHA MASHABIKI LAKI 5 TWITTER.


larrybway91

 

 

Staa wa kibao cha Show Me, Kid Ink ameachia nyimbo yake mpya inayoitwa ‘Woke up this Morning ikiwa ni siku chache tangu alipotangaza kupitia akaunti yake ya Twitter kuwa atatoa nyimbo bure kama atafikisha Followers laki 5 kwenye akaunti yake ya Twitter.

  ”500k on Twitter!! Here is the FREE new song as promised ‪#‎AlumniArmy‬” aliandika rapa huyo kwenye  mtandao wa twitter na Facebook. 

Unaweza ukaisikiliza hapo chini..

View original post