RAPA THE GAME AKIRI KUWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA KIM KARDASHIAN.


larrybway91

Baada ya kuwepo kwa tetesi zilizozagaa kwenye mitandao mingi inayoandika habari za mastaa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa siri kati ya rapa wa Compton, The Game na mtalaka wa mcheza kikapu Lamar Odom,  Khloe Kardashian ambaye ni mdogo wa Kim K, The Game amekanusha vikali uvumi huo.

Akiongea kwenye mahujiano na kituo cha radio cha BBC Radio 1Xtra alisema kwamba aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ya muda mfupi na baby mama wa Kanye West,  kimberly Kardashian na sio mdogo wake kama watu wanavyodai.

”Ni jambo la kufurahisha kwani mimi na  Khloe ni marafiki, watub hawafahamu,  nimekuwa nikimfahamu Khloe  miaka  12 iliyopita, unajua kwa sababu gani nasema ivyo? niliwahi kuwa na mahusiano na Kim Kardshian kwa kipindi fulani kifupi” alisema The Game…

Watu wanasubiria kuona Kim Kardashian na Kanye West wataongea nini kufuatia kauli ya rapa huyo,  ingawa mwenyewe amesema kwamba hana shida na Kanye kwani wao ni marafiki na…

View original post 5 more words

Advertisements