AJALI : BASI LA BUNDA LAGONGA TRENI NA KUUA.


Originally posted on larrybway91:
Basi mali ya kampuni ya Bunda Express lililokuwa linatokea mkoani Dodoma kuelekea Mwanza,  limegonga gari moshi(Treni) kwenye kivuko cha reli eneo la Manyoni Singida, huku watu wanne wakidaiwa kupoteza maisha na majeruhi kukimbizwa katika hospitali ya Manyoni iliyopo mkoani hapo. Endelea kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi sambamba na picha zaidi za ajali hiyo. Continue reading AJALI : BASI LA BUNDA LAGONGA TRENI NA KUUA.

VIJANA 10 WA KITANZANIA WANAOKIMBIZA KWA SWAGZ NA KUTUPIA PAMBA KALI KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM


Originally posted on larrybway91:
Unapoongelea suala la mtu kupendeza au kuwa na mvuto kwa watu wa nje wanaokutazama bila shaka lazima ugusie vipengele kama vile Mavazi,  Unadhifu au mtu kuwa smart wakati wote,  mwili unaovutia na unaokubali kila aina ya nguo vilevile na  jinsi ya kupangilia mavazi na kuwa wa kisasa zaidi. Orodha hii tuliyotoa ya vijana 10 wa kiTanzania wanaojua kupigilia pamba inavyotakiwa kwenye… Continue reading VIJANA 10 WA KITANZANIA WANAOKIMBIZA KWA SWAGZ NA KUTUPIA PAMBA KALI KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM

UGANDA YAWEKEWA VIKWAZO NA BENKI YA DUNIA BAADA YA RAIS MUSEVENI KUHIDHINISHA SHERIA MPYA DHIDI YA MAPENZI YA JINSIA MOJA.


Originally posted on larrybway91:
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika . Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri… Continue reading UGANDA YAWEKEWA VIKWAZO NA BENKI YA DUNIA BAADA YA RAIS MUSEVENI KUHIDHINISHA SHERIA MPYA DHIDI YA MAPENZI YA JINSIA MOJA.