AJALI : BASI LA BUNDA LAGONGA TRENI NA KUUA.


larrybway91

Image

Basi mali ya kampuni ya Bunda Express lililokuwa linatokea mkoani Dodoma kuelekea Mwanza,  limegonga gari moshi(Treni) kwenye kivuko cha reli eneo la Manyoni Singida, huku watu wanne wakidaiwa kupoteza maishana majeruhi kukimbizwa katika hospitali ya Manyoni iliyopo mkoani hapo.

Endelea kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi sambamba na picha zaidi za ajali hiyo.

Image

Image

View original post