BEYONCE, JAY Z NA BLUE IVY WAKILA BATA JAMHURI YA DOMINICA.


larrybway91

beyonce_yacht Familia ya Carter inayoundwa na  watu watatu,  Jay z,  mkewe Beyonce na mtoto wao wa kike Blue Ivy,  mara kwa mara wamekuwa wakipendelea kwenda Vacation(Mapumzikoni) sehemu ya mbali ili kuweza kubadilisha mandhari na mazingira.

Katika kipindi hiki cha majira ya joto,  familia hiyo imetia nanga katika Jamhuri ya Dominica,  inayosifika kwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo fukwe, vyakula na uoto wa asili. Mkali wa kibao cha Drunk in Love aliweza kushea picha kadhaa mtandaoni.

blue_ivy_beach

View original post

Advertisements