MCHUMBA WA NICK MINAJ AONGEZA TATTOO NYINGINE YENYE SURA YAKE.


Originally posted on larrybway91:
Katika kutimiza ule msemo wa watoto wa mjini unaosema, Mahaba Niue,  Safaree Samwel ambaye ni mchumba wa muda mrefu  wa rapa wa kike anayetokea katika Crew tajiri ya Young Money, NiCk Minaj, ameongeza mchoro mwingine wa tattoo mwilini mwake wenye sura ya Minaj upande wa kulia wa kifua chake. Safaree akionyesha Tattoo yake ya kwanza yenye sura ya Minaj . Awali… Continue reading MCHUMBA WA NICK MINAJ AONGEZA TATTOO NYINGINE YENYE SURA YAKE.

BEYONCE, JAY Z NA BLUE IVY WAKILA BATA JAMHURI YA DOMINICA.


Originally posted on larrybway91:
Familia ya Carter inayoundwa na  watu watatu,  Jay z,  mkewe Beyonce na mtoto wao wa kike Blue Ivy,  mara kwa mara wamekuwa wakipendelea kwenda Vacation(Mapumzikoni) sehemu ya mbali ili kuweza kubadilisha mandhari na mazingira. Katika kipindi hiki cha majira ya joto,  familia hiyo imetia nanga katika Jamhuri ya Dominica,  inayosifika kwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo fukwe, vyakula na uoto wa… Continue reading BEYONCE, JAY Z NA BLUE IVY WAKILA BATA JAMHURI YA DOMINICA.