SAMUEL ETO’O AMSAPRAIZ DAVIDO NA SAA YA DHAHABU.


larrybway91

Muimbaji wa Nigeria, David Adeleke(22) ei kei ei  ‘Davido’ amemshukuru Straika wa Chelsea,  Samuel Etoo(32), kupitia mtandao wa Instagram baada ya kumzawadia saa mpya ya dhahabu  aina ya Rolex .

“Thanks for the gift big bro !! Brand new rose gold rolly!! @setoo9 !!“  aliandika Davido kisha kuposti picha akiwa na Etoo huku akiwa ameshikilia zawadi hiyo.. Tazama picha hapo chini..

davido rolex

View original post

Advertisements