KIM KARDASHIAN AKERWA NA UBAGUZI WA RANGI ALIOTOLEWA KANYE WEST NCHINI AUSTRIA.


Originally posted on larrybway91:
Kim K na Richard Lugner. Mwanamitindo mrembo anayetokea katika familia ya Kardashian,  Kim K, alikumbwa na tukio lilionekana kumkera la ubaguzi wa rangi aliotolewa baba watoto wake, Kanye, baada ya kualikwa na bilionea Richard Lugner kwa kulipwa dola za kimarekani 500,000 kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalum  ya usiku ‘lavish ball’ iliyofanyika katika mji wa Vienna ,  Austria. Taarifa zinadai kuwa… Continue reading KIM KARDASHIAN AKERWA NA UBAGUZI WA RANGI ALIOTOLEWA KANYE WEST NCHINI AUSTRIA.

ROBBIN THICKE AKATISHA TAMASHA KUINUSURU NDOA YAKE.


Originally posted on larrybway91:
Mwanamuziki wa Marekani,  Robbin Thicke  alilazimika kukatisha tamasha lake lililokuwa lifanyike katika mji wa Atlanta na kisha kukwea pipa kueleka nchini Canada kwa ajili ya mazungumzo ya kunusuru ndoa yake na aliyekuwa mkewe, muigizaji  paula Patton ambaye kwa wakati huo  alikuwa kwenye zoezi la uchukuaji wa filamu nchini humo. Hata hivyo juhudi za Robbin hazikuweza kuzaa matunda licha ya mazungumzo ya… Continue reading ROBBIN THICKE AKATISHA TAMASHA KUINUSURU NDOA YAKE.

KANSAI AIRPORT NI MOJA KATI YA VIWANJA VYA NDEGE VYA MAAJABU


UWANJA HUO UPO BAHARINI UNA MILES 2.5 NA UREFU WA FUTI 4000 NA FUTI 60 KUTOKA INCHI KAVU MPAKA MAJINI AMBAPO NDIO UWANJA HUO ULIPO ,UWANJA HUU ULOZINDULIWA MWAKA 1994 UJENZI WAKE ULIANZA MWAKA 1987, UWANJA HUU UPO KATIKA NCHI YA JAPAN PIA NI MOJA KATI YA VIVUTIO VYA ENEO HILO Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading KANSAI AIRPORT NI MOJA KATI YA VIWANJA VYA NDEGE VYA MAAJABU

CHRIS BROWN KURUDISHWA TENA REHAB NA MAHAKAMA KWA MUDA WA MIEZI MIWILI


RAPPER CHRIS BROWN AMBAYE ANATARAJIA KUACHIA ALBUM YAKE YA X-ALBUM MNAMO TAREHE 5MAY2014 ,PIA CHRISB ANARUDISHWA REHAB KWA MUDA WA MIEZI MIWILI HATIJAJUA KUA MAMBO YATAKAAJE. PIA CHRIS ALI POST KUPITIA TWITTER STATUS HIYO HAPO CHINI—> STATUS HIYO ILISOMEKA IFUATAVYO .”Never really goes the way u plan. #LIFE“. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading CHRIS BROWN KURUDISHWA TENA REHAB NA MAHAKAMA KWA MUDA WA MIEZI MIWILI