JUSTIN TIMBERLAKE AMCHENJIA SHABIKI ALIYEMTUSI KWA DOLE LA KATI.


larrybway91

Justin Timberlake

Muimbaji wa muziki wa Pop Marekani,  Justin Timberlake, alikumbwa na maswahibu ya kutukanwa na mmoja wa shabiki wake kwa kuonyeshewa kidole cha kati alipokuwa akiperform kwenye moja ya ziara yake ya kimuziki iliyopewa jina la ”The 20/20 Experience” iliyofanyika katika mji wa Philladeliphia(Philly).

Unaweza ukatazama Video hapo chini jinsi ilivyokuwa.

View original post

Advertisements